Tuju aaandikia Maraga akilalamikia mahakama kupendelea NASA

5
15

Chama cha Jubilee kupitia katibu mkuu Raphael Tuju  kimemwandikia barua jaji mkuu David Maraga, kikidai na kutaja mara nane ambapo idara ya mahakama ilipendelea upande wa upinzani NASA katika kipindi cha uchaguzi wa mwaka wa 2017.
Kulingana na Jubilee, mahakama kwa mara hizo nane ilitoa amri ikiegemea pendekezo la NASA bila kutathmini upande mwingine.
Haya yanajiri siku moja baada ya rais Uhuru Kenyatta kufanya mageuzi katika tume ya huduma za mahakama JSC, alipowateua wanakamati watatu wapya kwenye tume hiyo.

source

5 COMMENTS

Comments are closed.