Wazazi wa Mary Jengo aliyefariki kwa kisa cha Moto Moi Girls wasimulia

24
84

Wazazi wa Mary Jengo aliyefariki kwa kisa cha Moto Moi Girls wasimulia SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: www.youtube.com/

24 COMMENTS

  1. Our good lord,have mercy on us sinners and on the whole world,,merrys parents, and the others eight, may God father Almighty grant u peace that surpasses all human understanding,, beautiful souls dance with Angeles

  2. Mungu Baba, umajua sababu ya kila tukio maishani mwetu wanadamu, umejua ni kwa nini kifo imetupokonya malaika huyu wakati kama huu, ewe baba mleta faraja, fariji familia hii hasa huyu mama ambaye zaidi ya hayo anaugua pia, wajalie amani kwa matumaini kwamba siku moja tutakutana tena na Mary ambaye wewe mwwnyewe ulimtumia kuokoa wenzake. Uwatumie roho mtakatifu izidi kuwaongeza nguvu wakati huu wa msiba na majaribu. Wote ambao walipoteza wapendwa wao baba uwakumbuke uwajalie katika jina la Yesu..

Comments are closed.